Hatima ya Udhia

Hatima ya Udhia ni riwaya inayosimulia kisa cha maisha ya kijana wa kike kwa jina Latiffa. Latiffa ni binti mtoto wa mtu, mtoto wa nyumba kubwa. Zaidi ya yote, Latiffa ni msichana aliyelelewa katika maisha ya ukwasi. Kila alichokitamani alipewa pasi kuchelewa. Alinunuliwa vinywaji vya aina yote. Lakini vipi maisha ya Latiffa hayakuwa kamilifu? Mbona aliona udhia! Mbona alikosa furaha, utulivu, starehe na hata kulia? Mbona Latiffa anakosa utulivu wa kumpenda mpenzi wake aliyempenda, Fadhila? Soma hadithi hii ili upate majibu.

Hatima ya Udhia is the story of a young lady, Latiffa, who is brought up in a life of opulence. Whatever she desired, was provided without any delay. But why was her life incomplete? What was the trouble in her life? Why did she lack joy, happiness, and serenity in her life? Why did she lack the best environment in which to love the person she wanted to love in her life, Fadhila? Read on and find out all the answers to these questions, and what happened at the end, as you enjoy this exhilarating story.

Creation date: 2018-03-12

125 Pages

This book is no longer available for Worldreader BLUE Box.

0

Read a Preview:

Books Like This:

Botsotso 15
Blue Wings
We Jive Like This
Toby the Giraffe