Watoto wameandaa mashindano kwa ajili ya wanyama wa Kokotoa. Kwa kutumia michezo waliyokuwa wakicheza na maumbo yenye ukubwa tofauti, wanajifunza kutafuta mzingo wa maumbo hayo.
The children have prepared a mini-olympics for the animals of Kokotoa. With the games using shapes of all sizes, the kids learn how to calculate the perimeter of different shapes.
Creation date: 2018-02-26
45 Pages