Panya Mjanja na Kirikuu

Yahya Mutuku

Queenex Publishers Limited

Panya Mjanja na Kirikuu

Panya Mjanja na Kirikuu ni kitabu kinachozindua msururu wa Vituko vya Panya. Panya, mgeni asiyetarajiwa, anafika nyumbani na kumkuta Kirikuu akicheza. Kirikuu yupo nyumbani peke yake. Kirikuu anaogopa panya sana. Panya anaingia ndani ya nyumba. Ni mtundu. Kirikuu atafanyaje?

Creation date: 2013-06-07

17 Pages

0

Read a Preview:

Books Like This:

Cougar Cub Tales: I'm Just Like You
Talk about My Family
Come and Play
My First Letter Sounds