Kito Apepeta kimeandikwa kwa ustadi mkubwa. Kitabu hiki kinawalenga watoto wanaoanza kukomaa kwa lugha na fasihi. Kinaburudisha na kuwahimiza watoto kukuza vipaji vyao.
Creation date: 2013-06-07
31 Pages