Kwa Bongonko na marafikize, Jumamosi ni siku ya malisho na michezo kochokocho. Lakini leo mambo yatakuwa tofauti. Jivumbulie mwenyewe kwa nini kwao hii itakuwa Jumamosi ya Mkosi.
Creation date: 2012-09-02
50 Pages