Kashida katika Shida

Kashida amezaliwa katika familia na jamii ambayo inamkana. Inamkataa na kumchukia. Ananusurika kutolewa kafara na kufika nchi ngeni lakini matatizo yanazidi kumwandama. Kuna kitu cha ajabu mwilini pa Kashida na wakionacho kitu hicho ndio wanaozidisha taabu zake. Kashida anaporejea nyumbani anapangiwa kuuawa ili milki isipate majanga.

Kashida is born in a family and community that denies her. Everyone hates her. She survives being sacrificed and arrives in the foreign country but problems continue to overtake her. There is something strange in Kashida's body and those who see it are the ones who add on to her misery. When Kashida returns home there are plans to kill her so that the land does not suffer disasters. How will Kashida survive the threat to her life?

Creation date: 2018-08-28

0

Read a Preview:

Books Like This:

Rehema Awanasa Wezi
Rehema Shujaa wa Kijiji
Panya Mjanja Mtegoni (Vituko vya Panya #3)
Kivuli cha Mauko