Zuhura na Zahara

Zuhura na Zahara ni pacha wanaofanana sana. Wamelelewa kwa heshima na taadhima na wazazi wao lakini tabia zao hazilingani. Chaka ni mgonjwa na hali yake ni mahututi. Ni lazima binti mmoja katika milki ya Tunu aipate dawa hiyo adimu ili mwana wa mfalme apone.

Zuhura and Zahara are identical twins. Their parents have raised them to be respectful. But they are very different. One girl from the Kingdom of the Tunu must get the required drug for the king's son to recover.

Creation date: 2018-08-28

0

Read a Preview:

Books Like This:

Rehema Awanasa Wezi
Rehema Shujaa wa Kijiji
Kashida katika Shida
Siri ya Baba Yangu: Kitabu Cha Kwnaza