Rehema Shujaa wa Kijiji

Yahya Mutuku

Queenex Publishers Limited

Rehema Shujaa wa Kijiji

Ni msimu wa mvua na mto Zongo umefurika na kuvunja kingo zake. Rehema, wazazi wake na wanakijiji cha Mwembeni wanazinduliwa na kelele asubuhi. Kuna mtu amekwama mtoni. Wanaume wote wameshindwa kumtoa. Wanawake nao hawana mbinu za kumwokoa. Kijiji kinamhitaji shujaa ambaye ataokoa maisha ya mtu. Je, shujaa huyo ni Rehema? Hii ni hadithi itakayokuvutia kutokana na utunzi wake wa kupigiwa mfano.Yahya Mutuku ni Mwandishi wa vitabu vingine vilivyochapishwa na Queenex mathalan Msururu wa Panya Mjanja, Wema wa Sofi, Sungura Hakimu miongoni mwa vitabu vingine vingi.

It's the rainy season and Zongo River has flooded and broken its banks. Rehema, her parents and the villagers of Mwembeni are woken up by loud screams early in the morning. There is a man stuck in the middle of the river. All the men are unable to rescue the man. The women also have no way to save him. The village needs a hero who will save the man's life. Is that hero a Rehema? This is a story that will appeal to you from his illustrative narrative.

Creation date: 2018-08-28

0

Read a Preview:

Books Like This:

Sungura Hakimu na Hadithi Nyingine
Zuhura na Zahara
Mwisho wa Ujambazi
Rehema Awanasa Wezi