Mechi Mwilini (Ubongo Kids Season 2)

Ubongo International

Ubongo International

Mechi Mwilini (Ubongo Kids Season 2)

Hatimaye Baraka amepata nafasi ya kucheza kwenye timu ya mpira ya Kokotoa. Chembehai nyekundu zinafanya kazi mwilini mwake ili kufikisha oksijeni kwenye kila kiungo. Lakini Baraka anapoumia, chembehai moja nyekundu yenye udadisi inapotea. Katika hadithi hii, Baraka anajifunza umuhimu wa kushirikiana ndani na nje ya mwili.

Baraka has finally got the chance to play for Kokotoa FC, and inside his body, his red blood cells are working hard to provide his body with all the oxygen it needs. When Baraka is injured and a curious blood cell gets lost, Baraka learns the importance of being a team player, inside and out.

Creation date: 2018-02-26

44 Pages

0

Read a Preview:

Books Like This:

Giraffe Party (Ubongo Kids Season 2)
Beads for Business (Ubongo Kids Season 2)
We Can Be (Ubongo Kids Season 2)
The Curious Blood Cell (Ubongo Kids Season 2)