Wema Amwokoa Noa (Swahili)

W.E. Mkufya

Mangrove Publishers

Wema Amwokoa Noa (Swahili)

Noa alipoandikishwa shule ya msingi, Majengo, wanafunzi wengine walimwepuka kwa sababu alikuwa albino. Wema, msichana mpole na mwenye upendo hakufurahia tabia ya kumbagua Noa kwa sababu ya ualbino wake, akaamua kushirikiana naye. Wakawa mara ki. Lakini Wema pia alitatizwa na ile hali ya ualbino wa ra ki yake. Akaamua kumuuliza daktari chanzo cha watu kuwa maalbino. Daktari akataka maelezo yake yasikilizwe na wanafunzi wote shuleni.

Creation date: 2017-02-27

41 Pages

Also on Mobile

Restricted to Kenya Only

0

Read a Preview:

Books Like This:

The Secret Garden
I Can't See (Safari Adventure Series)
Jumamosi ya Mkosi
Golden Boy