Jipende (Fresh na Maisha)

Elieshi Lema

E&D Vision Publishing

Jipende  (Fresh na Maisha)

Maisha anaishi katika familia yenye upendo,amani,ana bidii ya kazi,nyumbani na shuleni. Maisha ameanza kupata dalili za kukua.Changamoto mpya zinamkabili.Anakutana na Freshi anayekuwa Rafiki yake. Freshi anamfunulia Maisha uwanja wa maarifa juu ya Stadi za Maisha kuhusu kujipenda.

Maisha lives in her family with peace and love, she has a hardworking spirit in home and at school. Maisha start to notice the symptoms of growing up as adult. New challenges start to confront her. She met Fresh who become her best friend. Fresh unlocks Maisha to ground of life skills knowledge on how to love herself.

Creation date: 2018-11-29

0

Read a Preview:

Books Like This:

Charlotte in Paris (Beacon Street Girls)
Jijue (Fresh na Maisha)
Jilinde  (Fresh na Maisha)
Ndoto ya Upendo