Jijue (Fresh na Maisha)

Elieshi Lema

E&D Vision Publishing

Jijue (Fresh na Maisha)

Mojawapo ya Stadi kuu za Maisha ni kufahamu jinsi ya kutumia akili yako kunufaisha maisha yako, mahali popote ulipo. Uwe mtendaji, siyo mtendewa, ili ujielewa zaidi, ujiamini zaidi, ufanye mambo makubwa na udhibiti mwelekeo wa maisha yako…

One of the best life skill is to know how to use your brain. It gives you power in all aspects of your life, wherever you are. To be actor and not to be an actor, to understand yourself well, to be confident, to do big things in line with controlling and regulating your life directions.

Creation date: 2018-11-29

0

Read a Preview:

Books Like This:

Charlotte in Paris (Beacon Street Girls)
Jilinde  (Fresh na Maisha)
Jipende  (Fresh na Maisha)
Ndoto ya Upendo